Download Free Apps & Games @ PHONEKY.com
Subject: tujaribu na komedi genge lichangamke
Replies: 1 Views: 543
water60 13.04.14 - 03:08pm
hebu basi kila mtu atupie komedi hapa ila isiwe na lugha ya kuudhi wengne *
water60 13.04.14 - 03:12pm
cku moja madenge alikuwa na njaa,akaanza kusali hv..Mungu ukinijalia,kuokota buku mbil naapa buku ntaitoa sadaka,.Kufka mbele kdg akaokota buku eti dah!.Mungu noma yani ameshakata chake juu kwa juu... *