Mobi Groups
Download Free Apps & Games @ PHONEKY.com

BongoTz-chatroom - Topics
Create Your Own App Store

* BongoTz-chatroom > Topics


Subject: Wa TZ, kiswahili kinakua?
Replies: 8 Views: 2836

uswazitz 11.02.08 - 05:34pm
Tutafanikiwa kuikuza lugha yetu ya kiswahili mtandaoni? *

lslg 13.02.08 - 05:26pm
Ndiyo tunaweza tukiamua kwani hata ndg zetu wa nje wanapenda kujifunza *

1rama 3.07.08 - 03:14pm
Mmh! Kiasi kinakua lkn 2nakiharibu wenyewe na swnglish zetu, eti mtu anasema Ntakucal baadae why? kwanini? *

atilio 27.10.08 - 04:42pm
kukuza lugha ya kiswahili kwenye mtandao ni kama mbuzi kumfungia pembe za ng'ombe. sababu kiswahili siyo lugha ya kibiashara...hakuna taifa lolote kubwa linalo saidia kiswahili..wazungu wanaotumia kisw. ni kwenye upande wa burudani tu. km vile watalii...lkn si kwenye masoko yao au electronics wanazozitengeneza. *

maynah 8.11.08 - 04:04pm
Kama mkenya kikubwa nacho kiona nikwamba sirahisi kikue kwetu twajivunia sheng' sijui mjivunie swamglish *

majjma 2.06.09 - 08:58pm
mambizenu mm naona kiswahili kukua kwake ni kugumu mno ukiangalia hatawatanzania wenyewe wanatukuza lugha za kigeni mfano mtu akionekana hajui english anakosa hata heshima na kuonekana mbumbumbu kabisa kwahiyo inatubidi na sisi wenyewe tujue kama tunastahili kurekebisha mambo yote. *

tom8 12.06.11 - 10:55am
Minaona 22dumishe lugha ye2 mbona ipo fresh2 *

colombia 26.12.11 - 05:44pm
Me naona kiswahili kinakua ila lugha yetu tunaiharibu wenyewe pale mtu anaposema HAKUNAGA tunamaanisha nn kwa mtu anayejifunza lugha yetu hii adhimu? TUWE MAKINI. *

zein16 15.04.12 - 10:10am
NDUGU ZANGU WA TZ NA WAPA PONGEZI SANA KWA KISWAHILI CHENU SAFI SANA HONGERA *


* Reply
* BongoTz-chatroom Forum


Search:
topics replies


* BongoTz-chatroom

Create Your Own App Store

topTop
groupsGroups
mainProdigits

Create Your Own App Store