Mobi Groups
Download Free Apps & Games @ PHONEKY.com

BongoTz-chatroom - Topics
Create Your Own App Store

* BongoTz-chatroom > Topics


Subject: usajili wa simu za viganjani
Replies: 2 Views: 1671

dmichael 23.07.09 - 03:43pm
binafsi naona liko poa itasaidia kupunguza ma2miz mabaya ya cm.wapo wasemao litapngza uhuru wa masiliano.we umelipokeaje *

khasamo 27.05.10 - 09:01am
mimi naona liko mzuka na litawafanya watumiaji wa simu wawe makini zaidi katika matumizi la si hivyo itakuwa balaa au vipi broo. *

colombia 26.12.11 - 05:49pm
Usajili wa simu za viganjani bado hauna mantiki na haujatiliwa mkazo kisheria. Nashangaa kitambulisho cha mtu mmoja kinaruhusiwa kusajili line 3 za mtandao mmoja kwa No tofauti, sasa hapo cdhani kama kuna udhibiti kwa kuwa m2miaji atakuwa mtu mwingine kabisa acyesajiliwa kwa maana ya kitambulisho batili. BADO TUNA KAZI KUBWA. *


* Reply
* BongoTz-chatroom Forum


Search:
topics replies


* BongoTz-chatroom

Create Your Own App Store

topTop
groupsGroups
mainProdigits

Create Your Own App Store